Lewati ke konten utama
Lirik lagu

Natubu

Alikiba

Ni kama moto nauona
Sili, sili, silali
Ndani ya ndoto nakuona

Wawili, wawili oh darling
Najiona valili kama tishu
Akili kama sifuri

Mzima kama mfu, sina kitu
Mwili umekuwa pungufu
Maumivu maradufu

Umenizima kama luku
Ee Mungu wangu
Natubu, natubu, natubu

Natubu kuanzia sasa, natubu
Natubu, natubu, natubu
Natubu amenishinda, natubu

Utotoni nilidhani, nilidhani
Mapenzi ni koni, jamani
Na sasa nimekuwa Ali mimi

Nakosa amani kwanini
Najiona valili kama tishu
Akili kama sifuri

Uzima kama mfu, sina kitu
Mwili umekuwa pungufu
Maumivu maradufu

Umenizima kama luku
Ee Mungu wangu
Natubu, natubu, natubu

Natubu kuanzia sasa, natubu
Natubu, natubu, natubu
Natubu amenishinda, natubu

Natubu, natubu, natubu
Natubu kuanzia sasa, natubu
Natubu, natubu, natubu

Natubu amenishinda, natubu