Lirik lagu
Msumari
Video tidak tersedia untuk diputar di halaman ini. Lirik dan informasi lagu tetap tersedia.
Cari video di YouTube.
Diamond Platnumz , Ciara
Ni Utoto Tu Ila Mie Kwako Sipindui
Ndio Maana Usiku Nikinuna Najichekesha Asubuhi
Ni Ujinga Tu Ila Mie Kwako Fala
Ndio Maana Usipo Pokea Simu Siwezagi Lala
Mm Umenifunza Tofauti Ya Kupenda Na Kupendana
Na Kuongea Sio Sauti Hata Macho Husemezana
Na Mapenzi Yanataka ‘Imara Kuaminiana
Nami Kwako Sina Shaka ‘Ewawa Utachofanya
Na Hivi Vi Inzi Vya Kuzengea Wizi
Vikija Anga Hizi Visikunyime Amani
Lala Usingizi Upepo Barizi
Mie Mambo Ya Uzinzi ‘Aku Vya Kazi Gani Baby
Oh Penzi Letu Tuboreshe
Gongelea Na Msumari
Ezeka Na Bati Honey
Gongelea Na Msumari
Mvua Ya Chuki Isipenyeshwe
Gongelea Na Msumari
Oh Njiwa Nenda Njiwa ‘Njiwa Peleka Salamu
Peleka Salamu
Naivasha Kivule ‘Mombasa Zifike Lamu
Njiwa Nenda Njiwa ‘Njiwa Peleka Salamu
Ziende Mpaka Kwa Yule ‘Lonitesa Mwanaharamu
Si Alisema Mimi Sitopata Wa Thamani
Asa Hii Ni Nini Umuulize Huyu Nani
Wamebaki Kutabiri Si Punde Tutaachana
Wambie Sio Kwa Penzi Hili Mbona Wataroga Sana
Na Hivi Vi Inzi Vya Kuzengea Wizi
Vikija Anga Hizi Visikunyime Amani
Lala Usingizi Upepo Barizi
Mie Mambo Ya Uzinzi ‘Aku Vya Kazi Gani Baby
Hapo Hapo Ilipo Mbao
Gongelea Na Msumari
Oh Penzi Letu Tuboreshe Darling
Gongelea Na Msumari
Ezeka Na Bati Honey Oh
Gongelea Na Msumari
Mvua Ya Chuki Isipenyeshwe
Gongelea Na Msumari
Nasibu Abdul Juma Issaack