Lewati ke konten utama
Lirik lagu

Imeshindikana

Harmonize , Jay Melody

(Kimambo)
Zara boy pass me the weed, I'm about to say something real shit Nigga
Bombocla-a-a-t
It's Konde Boy, call me number one
Bakhresa, Ayy

Nilishindwa hata salimia
Nikiitwa kama sijasikia
'Cause I'm in love with you
Ndugu, marafiki wakaninunia
Wakasema eti najisikia
'Cause I'm in love with you
It's just phone call away, I'll be on my way
Niliacha kila kitu nikufuate wewe
Even far away, to me was okay
'Cause I'm in love with you

Oh no, funny how you never see that
And you never consider
You put yourself to a highest bidder
'Cause I'm in love with you
Anxiety, presha ilinipanda kichwani
Eti unaniacha ndani, hivi uliniona nani, baby?

Nimesurrender, imeshindikana
Imeshindikana (oh)
Acha wajaribu wengine
Imeshindikana
Kulazimisha mapenzi nawe
Imeshindikana
Acha wajaribu wengine
Imeshindikana (oh yeah)

Jay ay yeah ah yeah ah
Ooh once again ah
Lengo lako lilikuwa kuchezea mwili
Kisha unipe mapenzi ya kikatili
Japo nilivumilia, nilisubiri
Japo nilikupea kutwa mara mbili
Niwazi, nimekiri nimeshindwa kabisa kukubadili
Acha nipumzishe kiwiliwili
Haya mapenzi karaha, dear
Moyo uliuendesha
Ka mbio za pikipiki
Ukanikataza nisiwe na jamaa nikavunja urafiki
Usiku kuweweseka peke yangu nilipigwa baridi
Tuseme umeamua tu kishujaa
Kukitesa kichwa hiki

Oh no, funny how you never see that
And you never consider
You put yourself to a highest bidder
'Cause I'm in love with you
Anxiety, presha ilinipanda kichwani
Eti unaniacha ndani, hivi uliniona nani, baby?

Nimesurrender, imeshindikana
Imeshindikana (oh)
Acha wajaribu wengine
Imeshindikana
Kulazimisha mapenzi nawe
Imeshindikana
Acha wajaribu wengine
Imeshindikana (oh yeah)

The Mix Killer
Yaw-yaw