Lirik lagu
Umebant
Video tidak tersedia untuk diputar di halaman ini. Lirik dan informasi lagu tetap tersedia.
Cari video di YouTube.
Keteh
Ukizima umebant
Ukitapika umebant
I don't mind zikishika basi dance
Ka huwezi fika tuma view once
Wakisha tenje
Masaa imefika kuna form ya mayengs
Chukua senke
Time is money na ni paper tunachase
Niko na mali beba lighter
Kuskia fiti ni kawaida
Zote leo twachanganya
Kuskia fiti ni kawaida
Ukizima umebant
Ukitapika umebant
I don't mind zikishika basi dance
Ka huwezi fika tuma view once
Ũmũthĩ nĩ ũmũthĩ tumĩre kambĩ
Igia nĩciĩrwo ciume irima
Hear dis now
They want her, they love her, they need her
Marauga inyitire ta bomu
Shuka nayo baby basi usiogope
Tuzitoke zikitubeba tuzikwende
Yes I got the keys to the city, wowowoo
Kabla ya sherehe weka foundation bash usikuje njaa
Warembo ni wengi kwanza vienyeji leo nda skia raha
Sibaguangi pea, mwili chenye inahitaji
Kuna washarubati na pia wenye wanapenda makali
Hewa safii wasupa huku hukula mananasi
Cheki vile si tuko happy aki Nairobi kumejaza mabaddie
Mkiniona mtaani nimefura kifua baada ya jua kutua
Mpite kando
Kucha na kutwa napiga salaa
Magoti yaenda fanana makaa wewe
Mpite kando
Shamba la mawe nalikwaa, kiu nikate mi sina tamaa walahi
Mtanichoka
Aki ya nani
Ngewa sya wia ninatia wia
Ndukaanange my atmosphere
Pupa za jana usibebe achilia
Leo kunawaka, hatuonekani hadi Monday
Na tumepanga leo ni holiday
Hatuezi vaa vizuri tukae nyumbani
Leo ninawakilisha mashinani
Ngethi, pokeeni mashabiki
Jogoo wa shamba amefika mjini
Sing with me Nairobi girl
I like the way you peng thing got that sheng thing going on
You looking like a material girl
Every time she wine and kotch it
One two wakatikaje in that shoe
Kodong kodong turn up that volume
Pedi wangu gukua na mali true
Ye huzitoa Malibu
Ukizima umebant
Ukitapika umebant
I don't mind zikishika basi dance
Ka huwezi fika tuma view once
Ukitapika umebant
I don't mind zikishika basi dance
Ka huwezi fika tuma view once
Wakisha tenje
Masaa imefika kuna form ya mayengs
Chukua senke
Time is money na ni paper tunachase
Niko na mali beba lighter
Kuskia fiti ni kawaida
Zote leo twachanganya
Kuskia fiti ni kawaida
Ukizima umebant
Ukitapika umebant
I don't mind zikishika basi dance
Ka huwezi fika tuma view once
Ũmũthĩ nĩ ũmũthĩ tumĩre kambĩ
Igia nĩciĩrwo ciume irima
Hear dis now
They want her, they love her, they need her
Marauga inyitire ta bomu
Shuka nayo baby basi usiogope
Tuzitoke zikitubeba tuzikwende
Yes I got the keys to the city, wowowoo
Kabla ya sherehe weka foundation bash usikuje njaa
Warembo ni wengi kwanza vienyeji leo nda skia raha
Sibaguangi pea, mwili chenye inahitaji
Kuna washarubati na pia wenye wanapenda makali
Hewa safii wasupa huku hukula mananasi
Cheki vile si tuko happy aki Nairobi kumejaza mabaddie
Mkiniona mtaani nimefura kifua baada ya jua kutua
Mpite kando
Kucha na kutwa napiga salaa
Magoti yaenda fanana makaa wewe
Mpite kando
Shamba la mawe nalikwaa, kiu nikate mi sina tamaa walahi
Mtanichoka
Aki ya nani
Ngewa sya wia ninatia wia
Ndukaanange my atmosphere
Pupa za jana usibebe achilia
Leo kunawaka, hatuonekani hadi Monday
Na tumepanga leo ni holiday
Hatuezi vaa vizuri tukae nyumbani
Leo ninawakilisha mashinani
Ngethi, pokeeni mashabiki
Jogoo wa shamba amefika mjini
Sing with me Nairobi girl
I like the way you peng thing got that sheng thing going on
You looking like a material girl
Every time she wine and kotch it
One two wakatikaje in that shoe
Kodong kodong turn up that volume
Pedi wangu gukua na mali true
Ye huzitoa Malibu
Ukizima umebant
Ukitapika umebant
I don't mind zikishika basi dance
Ka huwezi fika tuma view once